Maelezo kuhusu Fidel Softech Ltd.
(Huduma za TEHAMA – Usanidi wa Programu – Huduma za LangTech – Huduma za Ushauri na Uajiri wa Wafanyakazi)
Muhtasari
Fidel Softech Ltd. (Iliyokuwa ikijulikana kama Fidel Softech Pvt. Ltd.) ni kampuni kubwa ya kwanza ya India inayotoa huduma za Ushauri za LangTech kuorodheshwa kwenye soko la hisa, inashirikiana na wateja kutoka tasnia mbalimbali, ikitoa huduma mbalimbali zinazojumuisha huduma za TEHAMA, utekelezaji wa teknolojia, huduma maalum za ujanibishaji na ushauri au uajiri wa wafanyakazi.
Fidel hutoa huduma bora za teknolojia huku ikizingatia kuhusika kwenye hatua ya mwisho ya uwasilishaji, ili kuhakikisha kuwa violesura vya watumiaji (UI/UX) vimejanibishwa katika lugha za kimaeneo kwa ajili ya masoko ya kimataifa. Tunawasaidia wateja wetu kukumbatia dhana ya “ufikiaji wa Gloca (Kimataifa-kimaeneo)” kwa kutoa huduma maalum zilizobinafsishwa ambazo hujumuisha huduma za teknolojia, ushauri na lugha, hivyo basi kuwezesha biashara kuunganishwa kwa urahisi na masoko mbalimbali ya kimaeneo.
Ikiwa na utaalam katika sekta nyingi, Fidel huhakikisha kuwa kila mteja anapokea ufumbuzi maalum ambao unashughulikia changamoto zao mahususi na kuchochea ukuaji endelevu.

Dhima Yetu
Dhima yetu ni kutoa huduma za uvumbuzi za TEHAMA, ushauri na huduma maalum za lugha ambazo zinachochea mabadiliko ya kidijitali kwa wateja wetu. Kwa kuambatanisha utaalamu wa teknolojia na ujanibishaji na uelewa wa kina wa masoko ya kimaeneo, tunajitahidi kutoa huduma maalum ambazo zinaboresha hali ya watumiaji na kukuza ukuaji endelevu wa biashara ulimwenguni kote. Tumejitolea kutoa huduma maalum bora zaidi, salama na zenye athari kubwa huku tukichangia vyema katika jamii kupitia mipango yetu ya CSR.

Maono Yetu
Maono yetu ni kuongoza kimataifa katika kutoa huduma za TEHAMA katika lugha za kieneo zinazowezesha biashara kustawi katika masoko mbalimbali. Tunalenga kuziba pengo kati ya lugha na teknolojia kwa kutoa huduma za kisasa zinazowezesha kampuni kufanya kazi “Glocal (Kimataifa-kimaeneo)” kwa urahisi, kuboresha ufikiaji na athari yao katika masoko ya kieneo na kimataifa.
Toa Huduma kwa Soko la Eneo HusikaG, Toa Huduma kwa Soko la Kimataifa!
History
Fidel has been operational since 2003, starting its journey as a private limited company offering specialized services across various domains. In June 2022, the company transitioned into a Public Limited Company, with name “Fidel Softech Limited.”
Ikiwa na makao yake makuu huko Pune na uwepo unaokua huko Hyderabad, Fidel pia inajulikana sana nchini Japan, ambapo inasimamia miradi mingi. Kampuni hiyo inaongozwa na Bw. Sunil Kulkarni, ambaye anaendelea kuhakikisha kuwa maono na ukuaji wa Fidel unafuatiliwa.
Kutuhusu

Usimamizi
Pata maelezo kuhusu wasifu wa timu ya uongozi ya Fidel, wakiwemo watendaji wakuu na wanabodi ambao husimamia ukuaji na uvumbuzi wa kampuni.

Tuzo
Fidel imetambuliwa duniani kote kwa ubora wake, kwa hivyo imepokea tuzo nyingi za kifahari katika sekta mbalimbali.

Washirika
Mtandao wetu dhabiti wa washirika huwezesha Fidel kutoa huduma maalum jumuishi na thamani isiyo na kifani katika tasnia zote.

Uthibitishaji na Uanachama
Fidel ina vyeti kadhaa tajika kwenye tasnia na ni mwanachama wa mashirika muhimu ya kimataifa, hivyo basi kuhakikisha viwango vya ubora wa juu zaidi.

Taaluma katika Fidel
Jiunge na Fidel ili uweze kuwa na taaluma yenye mafanikio ambapo tunaipa kipaumbele uvumbuzi, ukuaji na fursa katika kila kitu tunachofanya.

Habari na Matukio
Endelea kupata habari, matangazo na matukio mapya kutoka Fidel, yanayoangazia maarifa na mienendo ya tasnia.
Utaalamu wa Kipekee na USP ya Fidel
Msingi wa mafanikio ya Fidel ni utaalamu wake wa kipekee na vitofautishi muhimu. Hivi ni pamoja na:
Ujuzi kuhusu Soko la Japani
Fidel inafanya vyema katika kusimamia na kutekeleza miradi katika soko la Japani, hatua amabyo imeifanya kuwa mshirika anayeaminiwa na biashara za Kijapani na mashirika ya kimataifa yenye lengo la kujipanua nchini Japani.
Usaidizi wa Utekelezaji na Uendeshaji
Fidel offers comprehensive implementation and operational support for Automation Anywhere, Digital Transformation, and ServiceNow, ensuring smooth integration and sustained performance for clients.
Ujuzi wa Ujanibishaji
With deep localization engineering capabilities and language expertise with native translators covering over 200+ languages.
Ushauri na Uajiri wa Wafanyakazi
Fidel hutoa huduma maalum za ushauri na uajiri kwa wafanyakazi, kwa kutoa wataalamu wenye ujuzi ili kusaidia katika utekelezaji wa miradi changamano na mahitaji ya biashara yanayobadilika.
Viwango vya Ubora na Usalama Vilivyothibitishwa
Kama shirika lililoidhinishwa na ISO 9001 na ISO 27001, Fidel inaonyesha kujitolea kwa dhati kwa usimamizi bora na usalama wa data, kuhakikisha viwango vya juu zaidi katika huduma zote.
Miundo ya Uwasilishaji ya Kote Ulimwenguni
With experience in both Agile and Waterfall delivery methodologies, Fidel is adept at managing projects in global settings, offering flexible and tailored approaches based on client needs.
Muhtasari kuhusu Fidel Softech –
| Ilianza Kutoa Huduma | 2003 |
| Jina | Fidel Softech Ltd. (Iliyokuwa ikijulikana kama Fidel Softech Pvt. Ltd.) |
| Mkurugenzi Mtendaji mwanzilishi | Sunil Kulkarni |
| Uthibitishaji | ISO 9001, ISO 27001, ISO 17100, ISO 18587 |
| Maelezo ya Kifedha | Mzunguko wa Aprili hadi Machi |
| Huduma | Technology Implementation Services including Software development, Testing, Enterprise solution Implementation & Support (ServiceNow, AWS Automation Anywhere) Huduma za ujanibishaji zinajumuisha huduma za utafsiri, ujanibishaji wa programu, uwekaji wa manukuu ya video, unukuzi na ufafanuzi (sauti, video, maandishi), huduma za uhandisi. Huduma za Ushauri na Uajiri wa Wafanyakazi kwa wasanidi wa programu, wajaribu programu, PM, wahandisi wanaozungumza lugha mbili (Kijapani na Kiingereza), wahandisi wanaoboresha mifumo ya kiotomatiki, wahandisi wanaotoa usaidizi kwa biashara, |
| Huduma maalum | Nintei (suluhisho la upimaji wa muunganisho wa FIX), OMS (mfumo wa usimamizi wa oda) kwa muunganisho wa kubadilishana na agizo la biashara |
| Utaalamu | Specialization Digital Transformation, Data analytics & AI-ML, Cloud Infrastructure, Enterprise Solutions (ServiceNow, Automation Anywhere, Power BI) |
| Wateja | Huduma za SAP, Amazon, Flipkart, Nyka, Bluefin Tech, Persistent, Dataweave |
Blogu
Mipango ya CSR

Fidel katika Habari
Hakikisha kuwa Tumewasiliana
Connect with us at +91-20-49007800 or write to us at sales@fidelsoftech.com. Fill the form and get in touch if you have any questions or doubts and we will get in touch with you shortly.


